Kwenye harusi huko Ufilipino maharusi wavaa barakoa(mask) kuzuia maambukizi ya Corona
Katika harusi ya pamoja nchini Ufilipino, maharusi wamelazimika kuvaa barakoa (mask) na kufanyiwa ukaguzi mkali wa afya. Tahadhari imechukuliwa baada ya ugonjwa wa Corona kuendelea kuzua hofu. Wanandoa 220 walioana katika harusi hiyo ya pamoja inayofanyika kila mwaka na kusimamiwa na serikali.
Video kwa hisani ya The Telegraph
No comments