Khaligraph Jones aachia album yake mpya "Testimony 1990"
Rapper mkali kutokea +254 Kenya, Kaligraph Jones ameachia Album yake ya “Testimony 1990”ambayo imebeba ngoma 17.
Album hiyo inawahusisha mastaa mbalimbali akiwemo mwanadada mkongwe kwenye game ya Bongo Fleva Ray C akiwa miongoni mwa wasanii wachache kutokea Tanzania kupata nafasi ya kusimama kwenye album hiyo bila kumsahau Ycee, Mr Eazi kutokea Nigeria.
Rapper huyo alishawahi kushine na Albums nyingi kabla ya hii mpya ikiwemo Point of No Return, Eff Off, Best of Khalighraph Jones ,Autograph, Toa Tint.
No comments