Mshambuliaji wa klabu ya Liverpool na timu ya taifa ya Misri, Mohammed Salah amethibitisha kupitia kurasa zake za kijamii (Instagram na Twitter) kwamba yuko fit kucheza mechi ya leo dhidi ya Urusi. Salah alikosekana katika mechi yao ya ufunguzi dhidi ya Uruguay kwasababu bado hakuwa amepata unafuu.
No comments