New VIDEO: Walid Feat. Patoraking - Namna Gani
Msanii kutoka Tanzania anayesimamiwa na Patoraking kutoka nchini Nigeria ametoa video yake mpya inayojulikana kama "Namna Gani" akiwa pia amemshirikisha Patoraking. Unaweza kuitazama video hiyo hapo juu.
No comments