Breaking News

NOOOMA!! USIKU HUU HAMISA ALIVYOKATA KEKI NA MASHABIKI WAKE

Team Hamisa Mobetto ambao ni mashabiki wake wameamua kumuandalia Birthday dinner mrembo huyo ambaye siku ya jana December 10, 2018 ilikuwa ni siku yake ya kuzaliwa na aliamua kwenda Wilaya ya Kisarawe kuwaona watoto wasiojiweza.




No comments