New Audio: OMG Tanzania - SOLO (Official Audio)
Kundi la OMG nchini Tanzania linalojumuisha wasanii watatu, Salmin Swaggz, Con Boy pamoja na Young Lunya, wameweza kutoa single yao mpya inayokwenda kwa jina la SOLO. OMG pia wamekuwa wakiendelea kufanya vizuri ndani na nje ya nchi pia wakiwa na kazi zao nzuri kama vile "Uongo na Umbea" waliomshirikisha Baraka The Prince, "Wanangu na Wanao" waliomshirikisha Rosa Ree na nyingine nyingi
Post Comment
No comments