Breaking News

Young Killer - Exclusive Interview (Video)

Akiwa anafahamika sana kwa jina lake la stage Young Killer A.K.A Msodoki, ametusogezea nyimbo yake mpya inayokwenda kwa jina la "Exclusive Interview" katika mtandao wa YouTube. Nyimbo hii imetoka ikiwa ni mwezi mmoja tu tangu alipoachia ngoma yake ya "A New Girlfriend Story" mwezi uliopita. Unaweza ukaitazama ngoma hiyo hapa chini
Unaweza ukatuandikia maoni yako hapo chini juu ya ngoma hii kwenye comment section

No comments