Breaking News

New VIDEO: Beyonce & Jay Z (The Carters) - Apeshit

Kutoka katika familia ya "The Carters", Beyonce na mumewe Jay-Z wamekuja na video mpya inayokwenda kwa jina la Apeshit. Nyimbo hiyo pia ipo kwenye album mpya ya wawili hao inayofahamika kama Everything Is Love.

No comments