Breaking News

Champions League: Walioondoka kwenda Europa hawa hapa

UEFA Champions League imeendelea usiku wa December 12 michezo mingi ya kukamilisha ratiba ikiechezwa, tayari timu zizofuzu kucheza 16 bora ya UEFA Champions League msimu wa 2018/19 zilikuwa zimeshajulikana toka jana na wengi walikuwa wanasubiria michezo ya kukamilisha ratiba.

Tumeshuhudia hatua ya makundi ya michuano hiyo ikimalizika kwa vilabu vya Inter Milan, Pizen, Galatassary, Benfica, Club Brugge, Valencia, Napoli na Shakhtar zikiishia kuangukia katika michuano ya UEFA Europa League.
Matokeo ya mechi za UEFA Champions League Desemba 12

Hii ndio orodha ya wanaoongoza kwa magoli katika hatua ya makundi mpaka hivi sasa



No comments