Breaking News

TigoFiesta yatekeleza ahadi yake. Tarehe 22 Desemba 2018 Posta

Tamasha kubwa la kimuziki hapa nchini Tanzania linalotayarishwa na Clouds Media Group wakishirikiana na Tigo linalofahamika kama TigoFiesta, limeweza kutimiza ahadi yake kwa mashabiki wake kwa kutangaza rasmi siku maalumu litakalofanyika jijini Dar baada ya kuhairishwa hapo mwanzo kutokana na sababu zilizokuwa nje ya uwezo wao.

Tamasha hilo limetangaza kuwa, usiku huo mnene utafanyika katika viwanja vya Posta, mnamo tarehe 22 Desemba likiwa linajumuisha wasanii kibao

No comments