Breaking News

Khaligraph Jones - Instagram Girls (Video)

Rapper kutoka nchini Kenya almaarufu kama Khaligragh Jones ameamua kuja na ngoma yake mpya baada ya YES BANA ambayo aliitoa kama wiki tatu zilizopita. Ngoma hiyo mpya inaenda kwa jina la INSTRAGRAM GIRLS ambayo nimekusogezea, unaweza kuiangalia hapo chini

Unaweza ukacomment na kutoa maoni yako baada ya kuangalia video hii, je umeiona hii ngoma!!!

No comments