Breaking News

New VIDEO: Country Boy Feat. Kachi - Kibegi

Country Boy amekuja na video mpya featuring Kachi inayokwenda kwa jina la Kibegi. Video director wa video hiyo ni Ivan wakati audio ikiwa produced na S2Keezy. Unaweza kuitazama video hiyo hapo juu

No comments