Breaking News

PICHA: Mtoto wa Kanye West alivyosherehekea siku yake ya kuzaliwa

Ingawa mtoto huyo alikuwa alisherehekea siku yake ya kuzaliwa na binamu yake wiki mbili kabla ya siku yake rasmi kufika, bado siku yake ilipofika North alipelekwa New York na mama yake Kim Karshadian kusherehekea siku yake ya kuzaliwa. 


Kim Kardashian alihakikisha kuwa mtoto wake huyo anakuwa na siku nzuri kwasababu ni siku yake maalumu katika jiji hilo akiwa na yeye pamoja na baba yake mzazi Kanye West wakiwa wanamnunulia nguo nzuri katika maduka mbalimbali. 

Aliweza pia kuandaliwa keki ambayo ilikuwa na upinde wa mvua ndani yake pamoja na pipi zilizokuwa zikianguka ukiwa unakata keki hiyo.
Lakini mwishoni mtoto huyo alionekana kuwa amebebwa na baba yake akiwa haoneshi kufurahishwa na jambo lile, huenda alikuwa amefurahi sana na alikuwa amechoka na anahitaji kurudi nyumbani. 

No comments