Breaking News

New VIDEO: Navy Kenzo - Fella

Baada ya ukimya wa muda mrefu kwa ajili ya mapumziko, na malezi ya mtoto wao, kundi la Navy Kenzo limerejea tena na ngoma yao mpya inayokwenda kwa jina la "Fella". Unaweza kuitazama video hiyo hapo juu.

No comments