Breaking News

Watumiaji wa iPhone wailalamikia Update mpya ya Apple "iOS 11.4"

Watumiaji wa iPhone na iPad wamelalamikia sana kampuni ya Apple kutokana na Update mpya ambayo inafahamika kama iOS 11.4 ambayo wanadai kuwa inafanya charge ya simu zao kuisha haraka jambo ambalo halikuwepo mwanzo wakiwa na iOS version za nyuma.
Watu wengi wamekuwa wakilalamika kila mtu akielezea upande huku wengine wakioneshwa kufurahishwa na jambo hilo kwani wamesema kuwa version hiyo ni nzuri sana na inafanya simu kuwa haraka mno na wala haisumbui kwenye suala la charge.

Kampuni husika ya Apple bado haijaongelea chochote kuhusu jambo hilo tangu kutangaza rasmi kwa Update hiyo.

No comments