Breaking News

Nicki Minaj atangaza ratiba ya Tour yake atakayoifanya na "Future"


Nicki Minaj amekuwa akidokeza mara nyingi kuhusu ziara yake(tour) ya kimuziki lakini kwa sasa, Nicki Minaj ameamua kuliweka jambo hilo rasmi kwa mashabiki wake na kusema kwamba atakuwa akifanya tour na msanii mwenzake Future"

Tour hiyo inatarajiwa kuanza tarehe 21 mwezi Septemba katika mji wa Baltimore na kuanzia tarehe 27 wawili hao wataelekea America ya kaskazini kwenye miji kama vile Detroit, Chicago, Boston, Newark, Miami, Memphis, Dallas, Houston, Denver na mingine mingi kabla hawajamaliza na Las Vegas tarehe 21 Mwezi Novemba.

Baada ya mapumzika ya miezi mitatu, Nicki Minaj pamoja na Future watakuwa wanaelekea bara la Ulaya kwa ajili ya awamu ya pili ya tour hiyo ambayo itaanza Februari 21, 2019 katika mji wa Munich nchini Ujerumani. Tour ya awamu ya pili itajumuisha sehem kama vile Belgium, France, Sweeden, England na nyingine nyingi na kuendelea mpaka March 28 katika nchi ya Switzerland.

Tiketi za awali za tour hiyo zitaanza kutolewa Juni 12 wakati tiketi za kawaida zitaanza kutolewa Juni 15. Unaweza kuitazama ratiba hiyo vizuri hapa 

Nicki Minaj na Future’s NickiHndrxx 

Zaira za Amerika ya Kaskazini 

Sept. 21 – Baltimore, Md.
Sept. 23 – Washington, D.C.
Sept. 26 – Detroit, Mich.
Sept. 28 – Chicago, Ill.
Sept. 29 – Cincinnati, Ohio
Oct. 1 – Toronto, Canada
Oct. 2 – Buffalo, N.Y.
Oct. 4 – Boston, Mass.
Oct. 5 – Uncasville, Conn.
Oct. 7 – Newark, N.J.
Oct. 11 – Brooklyn, N.Y.
Oct. 14 – Raleigh, N.C.
Oct. 16 – Charlotte, N.C.
Oct. 19 – Miami, Fla.
Oct. 20 – Orlando, Fla.
Oct. 23 – Memphis, Tenn.
Oct. 28 – Nashville, Tenn.
Oct. 30 – New Orleans, La.
Nov. 1 – Dallas, Texas
Nov. 2 – Houston, Texas
Nov. 4 – Kansas City, Mo.
Nov. 6 – Denver, Colo.
Nov. 9 – Portland, Ore.
Nov. 10 – Seattle, Wash.
Nov. 16 – San Jose, Calif.
Nov. 17 – Sacramento, Calif.
Nov. 20 – Los Angeles, Calif.
Nov. 24 – Las Vegas, Nev.

Ziara za Ulaya

Feb. 21, 2019 – Munich, Germany
Feb. 22, 2019 – Bratislava, Slovakia
Feb. 24, 2019 – Lodz, Poland
Feb. 25, 2019 – Budapest, Hungary
Feb. 28, 2019 – Berlin, Germany
March 1, 2019 – Copenhagen, Denmark
March 3, 2019 – Oslo, Norway
March 4, 2019 – Stockholm, Sweden
March 6, 2019 – Brussels, Belgium
March 7, 2019 – Paris, France
March 9, 2019 – Bordeaux, France
March 11, 2019 – London, England
March 14, 2019 – Birmingham, England
March 15, 2019 – Dublin, Ireland
March 17, 2019 – Glasgow, Scotland
March 18, 2019 – Manchester, England
March 20, 2019 – Esch-sur-Alzette, Luxembourg
March 22, 2019 – Frankfurt, Germany
March 23, 2019 – Cologne, Germany
March 25, 2019 – Amsterdam, Netherlands
March 27, 2019 – Zurich, Switzerland
March 28, 2019 – Geneva, Switzerland



No comments