Breaking News

VIDEO: Ariana Grande Feat. Nicki Minaj - The Light Is Coming

Baada ya kutoa collaboration yao inayokwenda kwa jina la "Bed" Nicki Minaj na Ariana Grande wamekuja kivingine tena na video mpya inayoitwa "The Light Is Coming. Video hiyo imekuwa directed na Dave Meyers ambaye pia ameproduce nyimbo inayoitwa "No Tears Left to Cry". Nyimbo hiyo ni nyimbo ya pili kwenye orodha ya album mpya ya mwanadada Ariana Grande inayofahamika kama "Sweetener" ambayo bado haijatoka mpaka hivi sasa. 

Unaweza kuitazama video hiyo hapa chini:

No comments